Familia yamtafuta mwanao Peter Muteti aliyetekwa nyara na polisi jijini Nairobi

  • | Citizen TV
    5,538 views

    Familia Moja Eneo La Uthiru, Nairobi Inataka Serikali Kumwachilia Mwana Wao Peter Muteti Anayedaiwa Kutekwa Nyara Jumamosi Na Watu Wanaodaiwa Kuwa Maafisa Wa Usalama. Familia Inadai Muteti Alitekwa Nyara Baada Ya Kuchapisha Picha Inayokisiwa Kuashiria Mauti Kwa Rais William Ruto. Polisi Kabete Wameanzisha Uchunguzi Kuhusiana Na Kisa Hicho