Familia za waathiriwa wa ajali ya Muhoroni zawaomboleza jamaa zao

  • | Citizen TV
    837 views

    Familia za waathiriwa waliofariki katika ajali ya Jumanne eneo la Muhoroni kaunti ya Kisumu sasa zinailaumu serikali kwa ajali hiyo, iliyosababisha vifo vya watu kumi. Familia hizo zinasema kuwa hali mbaya ya barabara ya Londiani kuelekea Muhoroni ilichangia pakubwa ajali hiyo