Familia za watoto walioathirika zinasubiri sheria

  • | Citizen TV
    436 views

    Familia zenye watoto wanaougua ugonjwa wa kupooza ubongo bado zinasubiri serikali kupitisha sheria zitakazowapunguzia mzigo wa kifedha kuwahudumia watoto wao