Familia zaidi ya hamsini Nakuru zimehama baada ya nyumba kusombwa na maji kufuatia mvua kubwa

  • | Citizen TV
    1,011 views

    Familia zaidi ya hamsini katika eneo la Kaptembwa Nakuru Magharibi zimehama kwao baada ya nyumba wanazoishi kupata nyufa na zingine kusombwa Na Maji kufuatia mvua kubwa iliyonyesha Jumatano.