Familia zalaumu EPZA kwa kujaribu kuwanyang'anya ardhi.

  • | Citizen TV
    171 views

    Familia tatu katika kijiji cha Gora eneo la Samburu huko Kinango kaunti ya Kwale zinadai mamlaka ya EPZ inataka kuchukua ardhi yao ya ekari 200 bila makubaliano mwafaka ya jinsi watakavyolipwa fidia