Familia zimeweza kutambua miili minne ya jamaa zao wa amauaji ya Kware

  • | Citizen TV
    433 views

    Matokeo ya chembechembe za msimbojeni wa dna kwa waathiriwa wa mauwaji ya Kware yametolewa kwa familia. Miili minne kati ya 17 iliyoopolewa kutoka timboni mwezi Julai ikitambuliwa