Fatuma Masito : Mara nyingi mzee anaambiwa hawezi pata pesa kwa sababu 'fingerprints' zimepotea

  • | KBC Video
    19 views

    Kwale MP, Fatuma Masito : Wakati mwingi wazee wakifika umri fulani alama za vidole hupotea. Unapata mzee anaambiwa huwezi kupata pesa kwa sababu 'fingerprints' zako zimepotea... Kama tunawasaidia wazee hawa, basi haki itendeke na tuweze kuwafanyia njia nyepesi ya kuweza kufaidika na pesa zile

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #KenyaElection2022 #News #Parliament #TheGreatKBC