"FIFA Connect" itanufaisha vilabu mashinani

  • | Citizen TV
    67 views

    Shirikisho la soka nchini, FKF, limeanzisha upya mafunzo ya maafisa wa vilabu vya soka kwenye mfumo wa "FIFA Connect" ambao unatumika duniani kote kusajili wachezaji