Fox' - Mfanyabiashara wa kimataifa wa dawa za kulevya

  • | BBC Swahili
    212 views
    BBC Africa Eye inavuka bara kumsaka mtu anayefahamika kama ‘Fox’, anayedaiwa kuwa mhusika mkuu wa operesheni ya kimataifa ya ulanguzi wa dawa za kulevya. Mamlaka nchini Brazili zinaamini kuwa aliajiri wafanyakazi wasio na hatia kusafirisha boti yake kuvuka Atlantiki, lakini iliposimama kwa dharura katika fukwe wa Afrika Magharibi, polisi walikuta zaidi ya tani moja ya kokeni ikiwa imefichwa ndani ya boti. #bbcswahili #afrikaeye #uingereza