Freeman Mbowe: Bado nina ndoto ya kuitimiza

  • | BBC Swahili
    8,821 views
    Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe amewashangaa wanaomuonea huruma na kumtaka aondoke madarakani kwasababu tayari ametimiza mambo mengi. - Mbowe ambaye pia anatetea nafasi yake ya Uenyekiti, ameongeza pia kwamba anaamini huu ndio muhula wake wa mwisho madarakani huku akisisitiza kwamba ana ndoto anayotaka kuitimiza kabla hajaondoka madarakani. - - #bbcswahili #upinzani #uongozi #siasa #tanzania #chadema Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw