Gachagua Adai Kuwa Kuna Watu Wanataka Kumwangamiza Na Wakili Wake Wana Wasia Wake

  • | TV 47
    5,021 views

    Gachagua Adai Kuwa Kuna Watu Wanataka Kumwangamiza Na Wakili Wake Wana Wasia Wake

    Aliyekuwa Naibu Rais Rigathi Gachagua sasa anasema kuwa wakazi wa mlima kenya wako kwenye mrengo wa upinzani.

    Gachagua ameshikilia kuwa kuna njama ya kuwafuta kazi jumla ya makatibu 10 kutoka Mlima Kenya katika juhudi za kuingiza wandani wa Raila serikalini.

    #UpeoWaTV47

    __

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __