Gachagua Adai Serikali Imefumbia Jicho Vita Dhidi Ya Pombe Haramu Eneo La Mlima Kenya

  • | TV 47
    36 views

    Gachagua Adai Serikali Imefumbia Jicho Vita Dhidi Ya Pombe Haramu Eneo La Mlima Kenya

    Aliyekuwa Naibu Rais Rigathi Gachagua ameendelea kukashifu utendakazi wa serkali kuu akidai kuwa imezembea katika vita dhidi ya pombe haramu hususan eneo la Mlima Kenya.

    Gachagua aliyasema haya mapema leo kule naivasha kwenye ibada ya kanisa.

    #TV47Wikendi #Events2024

    __

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __