Gachagua afika mahakamani tena kuzua bunge la seneti kujadili hoja ya kumtimua ofisini

  • | Citizen TV
    9,075 views

    Naibu Rais Rigathi Gachagua Amefika Mahakamani Tena Kutaka Kuzuia Bunge La Seneti Kujadili Hoja Ya Kumtimua Ofisini. Kulingana Na Stakabadhi Za Mahakama, Gachagua Anasema Wabunge Hao Walijadili Masuala Ambayo Hayakuwa Ndani Ya Mashtaka Dhidi Yake. Kama Anavyoarifu Emmanuel Too, Hii Ni Kesi Ya 24 Ya Gachagua Mahakamani, Tangu Akabiliwe Na Tishio La Kumwondoa Mamlakani.