Gachagua anaomba mahakama kusimamisha kesi ya Mahakama Kuu

  • | TV 47
    1,998 views

    Mahakama ya Rufaa inatoa mwelekeo wa kisheria.

    Gachagua anapinga jopo la majaji watatu lililobuniwa na Naibu Jaji Mkuu.

    Gachagua anaomba mahakama kusimamisha kesi ya Mahakama Kuu.

    Gachagua anasema kutimuliwa kwake afisini ni haramu.

    Maseneta na Wabunge walipiga kura kumtimua afisini.

    Mahakama Kuu inatoa uamuzi wa hatima ya Gachagua leo saa nane.

    Kesi kadhaa ziko mahakamani kuhusiana kutimuliwa kwa Gachagua.

    Tayari Rais Ruto alimteua Prof. Kindiki kuwa Naibu Rais.

    Mahakama Kuu iliamua kuwa DCJ ana mamlaka ya kuunda jopo.

    #TV47Matukio

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __