Gachagua ataka rais Ruto kuongea ukweli anapozuru Mlima Kenya

  • | Citizen TV
    4,701 views

    Aliyekuwa Naibu Rais Rigathi Gachagua Sasa Anamtaka Rais William Ruto Kukamilisha Miradi Iliyoanzishwa Na Rais Mstaafu Uhuru Kenyatta. Gachagua Anadai Kuwa Rais Ruto Hajaanzisha Mradi Wowote Katika Eneo Hilo Tangu Achukue Hatamu Za Uongozi. Emmanuel Too Anaarifu Zaidi.