Gachagua atishia kuongoza maandamano dhidi ya serikali iwapo Martha Koome ataondolewa ofisini

  • | Citizen TV
    9,680 views

    Aliyekuwa Naibu Rais Rigathi Gachagua Sasa Ametishia Kuongoza Maandamano Ikiwa Jaji Mkuu Martha Koome Atatimuliwa Afisini. Gachagua Amemkashifu Rais William Ruto Kwa Kile Anachokidai Kuwa Kuongoza Mchakato Wa Kumbandua Koome. Emmanuel Too Anaarifu.