Gachagua: Hatutafanya makosa tuliyofanya 2022, sasa tunamjua!

  • | K24 Video
    462 views

    Aliyekuwa naibu rais Rigathi Gachagua sasa amepasua mbarika kuhusiana na rais William Ruto alivyoisaliti eneo la mlima kenya baada ya uchaguzi uliopita. Kulingana na Gachagua Ruto aliwaamuru wabunge kutowapigia kura yeyote kutoka eneo la mlima Kenya wakati wa uteuzi wa wabunge wa bunge la afrika mashariki EALA. Gachagua amemsuta vikali Rais Ruto akidai anamtumia aliyekua kiongozi wa genge la Mungiki Maina Njenga kuzua vurugu mlimani