Gachagua kuwasilisha ombi mpya kumtaka jaji Mrima kujiondoa kwenye kesi

  • | TV 47
    2,920 views

    Mawakili wa Gachagua wanadai spika Kingi alitumia ushawishi wake kumpa kazi jamaa wa jaji Mrima

    Jamaa wa jaji huyo anadaiwa kutolewa afisi ya ODPP mjini Mombasa

    Mrima, Ogola na Mugambi walikataa ombi la Gachagua kujiondoa katika uamuzi waliotoa siku ya ijumaa

    Gachagua alikuwa amewahusisha majaji hao kwa uhusiano wao na wapinzani wao kortini

    Kesi ya kuondolewa kwa Gachagua itarejea siku ya jumanne asubuhi

    Majaji hao vile vile watasikiza kesi inayopinga amri za kuzuia uapisho wa Kindi

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __