Gavana Abdulswamad: Jumba linalozama litabomolewa kesho

  • | Citizen TV
    1,567 views

    Jumba la ghorofa 10 lililozama wiki jana huko Makadara Mombasa linatarajiwa kubomolewa kesho. Wakazi wanaoishi karibu na eneo hilo wameagizwa kuondoka ili kutoa fursa kwa shughuli hiyo kuendeshwa kwa saa nane. Gavana wa mombasa abdulswamad sharif nassir amedokeza kuwa wagonjwa mahututi katika hospitali ya makadara watahamishwa katika hosptali zilizoko karibu.