Gavana Achani ameamrisha zoezi la kupimwa kwa shamba

  • | Citizen TV
    43 views

    Gavana wa Kwale Fatuma Achani ameamrisha kuendelezwa kwa zoezi la kupimwa kwa shamba la kijamii la Mwereni huko Lungalunga na serikali ya Kaunti