Gavana Achani azuia unyakuzi wa ardhi ya msikiti eneo la Diani

  • | Citizen TV
    436 views

    Gavana wa Kaunti ya Kwale Fatuma Achani ameihakikishia Jamii ya Waislamu ndani ya Kaunti hiyo kuwa ardhi ya Msikiti mkongwe wa Kongo huko Diani, eneobunge la Msambweni haitanyakuliwa na mabwenyenye, akisema Serikali yake imeweka vikwazo vya kuzuia uuzaji wa ardhi hiyo