Gavana Barasa asema kaunti hazijapokea KSh. 63 bilioni

  • | Citizen TV
    159 views

    Gavana wa kakamega Fernandes Barasa amefichua kuwa kaunti zote 47 bado hazijapokea shilingi bilioni 63 za mgao wa mwezi februari na machi mwaka huu