Gavana Barasa asisitiza kaunti zitafungwa

  • | Citizen TV
    305 views

    Gavana wa kaunti ya Kakamega Fernandez Barasa ambaye pia ni mwenyekiti wa kamati ya fedha kwenye Baraza la magavana nchini amesisitiza kwamba kaunti zote zitafungwa iwapo serikali kuu haitatoa fedha kwa serikali za kaunti baada ya siku kumi na nne