Gavana Dhadho Godana na Mbunge Said Hiribae wakamatwa baada ya watu 18 kuuawa Tana River

  • | Citizen TV
    1,555 views

    Watu Wanne zaidi wameuawa katika kijiji cha Meti Kaunti ya Tana River Katika Mzozo wa Kijamii na kufikisha idadi ya watu waliouwawa katika muda wa wiki moja hadi kumi na wanane. Gavana wa Kaunti hiyo Dhadho Godana na Mbunge wa Galole Said Hiribae walikamatwa usiku wa kuamkia leo na bado wanazuiliwa na maafisa wa DCI kwa uchunguzi. Mwanahabari Wetu Melita Oletenges anaarifu zaidi.