Gavana, mbunge na waziri wa zamani kufika DCI

  • | Citizen TV
    170 views

    Seneta wa Kaunti ya Samburu Steve Lelegwe amemsuta Gavana wa Samburu Lati Lelelit, kwa utendakazi wake anaodai umesababisha Kaunti ya Samburu kusalia nyuma kimaendeleo, huku maafisa wakuu serikalini wakikosa uwezo wa kutekeleza majukumu yao ipasavyo