Gavana Mutula Kilonzo abuni jopo maalum la kuchunguza mkasa wa Thange, Makueni

  • | Citizen TV
    967 views

    Miaka kumi baada ya bomba la mafuta la kampuni ya Kenya pipeline kupasuka na kumwaga mafuta katika eneo la Thange kaunti ya Makueni, gavana Mutula Kilonzo Jr. amebuni jopo maalum litakalochunguza upya madhara ya tukio hilo kwa wenyeji. Kama anavyoarifu Michael Mutinda, wakazi wa eneo hilo wanadai fidia baada ya mafuta hayo kuathiri pakubwa afya zao.