Gavana wa Garissa atoa onyo kali kwa wanyakuzi wa ardhi wa shule ya msingi ya Garissa

  • | NTV Video
    159 views

    Gavana wa kaunti ya Garissa Nathif Jama amewathahadharisha wanyakuzi wa ardhi wanaolenga kunyakua ardhi ya shule ya msingi ya Garissa baada ya watu wasiojulikana kuonekana kuchukua vipimo kwenye eneo hilo huku wafanyakazi wengine wakifanya kazi ya kutengeneza misingi ya ujenzi.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya