Gavana wa Kakamega aitaka TSC kuajiri walimu zaidi wa JSS

  • | Citizen TV
    88 views

    Gavana wa Kakamega Fernandez Barasa amehimiza wizara ya elimu kuendelea na ujenzi zaidi wa madarasa ya wanafunzi wa shule ya sekondari msingi pamoja na kuajiri walimu zaidi wa JSS. Akizungumza katika shule ya msingi ya Mumias Kakamega, gavana huyo alipongeza juhudi za kutatua matatizo ya walimu wa JSS.