Gavana wa kaunti ya Bomet Hillary Barchok awataka vijana kuwa makini wanapotumia mitandao

  • | Citizen TV
    1,421 views

    Gavana wa Kaunti ya Bomet Prof. Hillary Barchok amewataka vijana kuwa makini wanapotumia mitandao. Barchok amewasihi vijana kutumia mitandao kujiendeleza na kufahamisha jamii wala sio kueneza uvumi, uchochezi na matusi dhidi ya viongozi. Aidha amewataka vijana kutumia mitandao kushinikiza utangamano na umoja katika jamii.