Gavana wa kericho Eric Mutai ahimiza wakulima kuchukua mbolea ya ruzuku

  • | Citizen TV
    212 views

    Gavana wa kericho Dkt. Eric Mutai Amesema kuwa Serikali ya kaunti hio imefikia asilimia 90 ya kufungua maghala ya mashinani ili kuwawezesha wakulima kupokea mbegu na mbolea Kwa urahisi. Aidha amewarai wakulima kuchukua mbolea kwenye maghala yaliyoko karibu nao ili kufanikisha upanzi msimu huu wa mvua.