Gavana wa Laikipia na wadau wa elimu wazindua maktaba

  • | Citizen TV
    101 views

    Ili kuwapa wanafunzi kutoka vitongoji duni nafasi bora zaidi ya elimu nyakati za likizo, gavana wa kaunti ya Laikipia Joshua Irungu akishirikiana na washikadau tofauti wamefungua maktaba ya kisasa kwenye mtaa wa mabanda wa majengo mjini Nanyuki kaunti ya Laikipia . wanafunzi zaidi ya mia mbili wanatarajiwa kunufaika kila siku. Sharon Nkonge anaarifu zaidi