Gavana wa Narok asisitiza haja ya kutenga matumizi ya maji

  • | Citizen TV
    141 views

    Gavana wa Kaunti ya Narok Patrick Ole Ntutu amesisitiza haja ya kutenga matumuzi ya maji baina mashule ya upili na ya msingi ili kusitisha uhasama wa matumizi.