Gharama ya Juu ya kukabiliana na ugonjwa wa Seli Mundu

  • | West TV
    34 views
    Wazazi walio na watoto wanaougua ugonjwa wa selemundu (sickle cell) wanaelezea kupitia changamoto wanapowalea huku wakitoa wito kwa serikali kuingilia kati na kuwasaidia upande wa matibabu.