Gharama ya maji kupanda Embu

  • | NTV Video
    76 views

    Kampuni ya kusambaza maji ya Embu EWASCO imetanganzia wakaazi bei mpya ya maji maji kutoka senti tisini na mbili kwa kila mtungi wa lita ishirini hadi shilingi moja na senti themanini na sita kutokana na ongezeko ya gharama ya kusafisha na kusambaza maji ambayo kufikia sasa ni changamoto kwa wakazi wa Mbeere ambao husafiri masafa marefu kutafuta maji.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya