Gisele Pelicot: Mwanamke wa Ufaransa aliyebakwa na watu 50

  • | BBC Swahili
    136 views
    Tahadhari: Taarifa hii ina maudhui ya ubakaji Gisele Pelicot, mwanamke wa Ufaransa amekuwa shujaa wa kutetea haki za wanawake baada ya kusisitiza kuwa kesi yake ya ubakaji dhidi ya aliyekuwa mume wake na wanaume wengine 50 ifanyike hadharani ili kutaka kubadilisha jamii na kufichua vitendo zaidi vya ubakaji. Gisèle alipigiwa makofi mahakamani baada ya kutoa ushahidi katika kesi hiyo ya ubakaji @martha_saranga anelezea zaidi #bbcswahili #ufaransa #wanawake Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw