Gladys Wanga apigia debe ODM

  • | KBC Video
    218 views

    Mwenyekiti wa chama cha ODM Gladys Wanga, anasema chama hicho kinajianda kwa uchaguzi mkuu ujao. Gavana huyo wa Homa Bay amesema chama cha ODM kinaendelea kufanya mikakati kabambe mashinani kabla ya kinyang’anyiro cha mwaka 2027. Aidha aliwahimiza viongozi wa chama hicho katika kaunti ya Mombasa kuwa waaminifu kwa chama hicho

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive