Gloria Orwoba atia doa uhamasishaji wa ukatili wa kijinsia

  • | K24 Video
    24 views

    Seneta maalum Gloria Orwoba ameeleza wasiwasi wake kuhus ugawaji na matumizi ya shilingi milioni 100 zilizotengwa kwa kampeni dhidi ya dhulma za kijinsia na mauaji ya wanawake. Orwoba amedokeza kuwa fedha hizo zingeweza kutumika vyema zaidi kushughulikia changamoto za kimfumo.