Gor Mahia wabanwa sare tasa na timu ya Tusker

  • | Citizen TV
    191 views

    Mabingwa Watetezi Wa Ligi Kuu Nchini Gor Mahia Wamebanwa Sare Tasa Na Wanamvinyo Wa Tusker Kwenye Mechi Iliyochezwa Uwanjani Kenyatta Kaunti Ya Machakos.