- 543 viewsUamuzi wa kutatanisha wa refa katika mechi ya mpira wa miguu ulizua vurugu na mkanyagano katika mechi moja ya soka kusini mashariki mwa Guinea, na kuuwa watu 56 kulingana na idadi ya awali, serikali ilisema Jumatatu. Uamuzi wa kutatanisha wa refa katika mechi ya mpira wa miguu ulizua vurugu na mkanyagano katika mechi moja ya soka kusini mashariki mwa Guinea, na kuua watu 56 kulingana na idadi ya awali, serikali ilisema Jumatatu. Vifo vilitokea wakati mechi ya fainali ya mashindano ya kumuenzi kiongozi wa kijeshi wa Guinea Mamady Doumbouya katika uwanja wa michezo huko Nzerekore, mojawapo ya miji mikubwa ya taifa hilo. Baadhi ya mashabiki walirusha mawe, jambo ambalo lilizua hofu na mshtuko, taarifa ya serikali ilisema, na kuahidi uchunguzi. Akizungumza kwa sharti la kutotajwa jina afisa mmoja wa mji huo alisema waathirika wengi walikuwa Watoto waliojikuta katika ghasia hizo baada ya polisi kutumia mabomu ya kutoa machozi. Afisa huyo alielezea matukio ya mkanganyiko na vurugu huku baadhi ya wazazi wakichukua miili kabla ya kuhesabiwa rasmi. - Reuters #guinea #football #voa
Guinea: Darzeni wafariki wakiwemo watoto kufuatia vurugu katika mechi ya kandanda
- 22 Dec 2024 - Three Committees at the National Assembly are set to commence the vetting process of Nominees nominated by the President to serve in various state offices upon Parliamentary approval. National Asse…
- 22 Dec 2024 - Kenyans working abroad have been challenged to inculcate a culture of saving and invest in the country. Labour and Social Protection PS Andrew Mwadime says the government is committed to its labour…
- 22 Dec 2024 - Syria's new rulers have appointed a foreign minister, the official Syrian news agency, or SANA, said on Saturday, as they seek to build international relations two weeks after Bashar al-Assad was ousted.
- 22 Dec 2024 - Kalonzo: The last man standing in Opposition, but for how long?
- 22 Dec 2024 - Tvet: Ogamba calls for more student numbers
- 22 Dec 2024 - How new KRA guidelines will impact income tax calculation
- 22 Dec 2024 - First-term curse: Why every new president faces a crisis right after being sworn-in
- 22 Dec 2024 - Real 'dynasties' have come back together, can fresh 'hustlers' voice emerge?
- 22 Dec 2024 - Job loss fears as Mbadi orders cost-cutting in State agencies
- 22 Dec 2024 - Chaos after Kuppet increases retirement age