Habari Kuu za Ushirikiano China-Afrika 2024

  • | KBC Video
    32 views

    Mwaka wa 2024 unakaribia kumalizika, na katika mwaka huu, uhusiano kati ya China na Afrika umeendelea kuboreshwa na kuzaa matunda mengi mno. Hivi karibuni, tukishirikiana na wenzetu wa vyombo vya habari vya Afrika Mashariki, tumechagua habari kadhaa muhimu za China na Afrika, ungana nami kufahamu zaidi kuhusu matukio gani makubwa yaliyotokea kati ya China na Afrika mwaka 2024.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News