Habari za Uchumi na Biashara

  • | KBC Video
    56 views

    Wataalamu wa masuala ya ununuzi wanapendekeza kubuniwa kwa sera ambayo itawezesha bidhaa zinazotengenezewa humu nchini kuorodheshwa kwa kuzingatia kiwango cha mali ghafi ya humu nchni kinachotumika katika utengenezaji.Joseph Ogachi anasema kuwa sheria ya ununuzi ya mwaka 2015 haijabinisha kinagaubaga kuhusu vigezo vinavyotumika kuorodhesha bidhaa zilizotengenezewa humu nchini, hali inayofanya maduhuli kuuzwa kama bidhaa za Kenya.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive