Hadhi Ya Wafanyakazi: Waajiri watakiwa kujukumika

  • | KBC Video
    40 views

    Mito kwa waajiri humu nchini waheshimu na kudumisha hadhi ya wafanyakazi iliangaziwa wakati wa maombi ya kila mwaka ya muungano wa vyama vya wafanyakazi COTU,yaliyofanyika katia kanisa la st. Stephen's ACK Cathedral, Jogoo Road Nairobi.Walionena akiwemo kasisi wa kanisa hilo Canon Paul Kariuki,waliwashutumu baadhi ya wakenya kwa kuzembea na kujihusisha na siasa zisizofaa ambazo zinaathiri jamii na uchumi wa taifa hili.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive