Haki kwa msichana Wajir

  • | Citizen TV
    731 views

    Mahakama mjini Wajir imelalamikia kujikokota kwa uchunguzi wa kisa ambapo msichana mdogo aliteketezwa moto na kuuawa kwenye utata wa ndoa eneo la Habaswein. Hakimu mkuu wa mahakama ya Wajir Aganyo Roselyn sasa akiagiza uchunguzi huo kuharakishwa huku mwili wa Gaal Aden ikitarajiwa kufukuliwa leo.