Haki za kidemokrasia: Wakenya wahimizwa kushinikiza uwajibikaji

  • | KBC Video
    18 views

    Makundi ya kijamii pamoja na vijana yamehimizwa kujitokeza kupigania haki za kidemokrasia na uongozi bora. Akiongea katika uwanja wa Kamukunji eneo la Kibera rais wa bunge la Mwananchi Francis Awino aliwahimiza Wakenya kusimama kidete na kushinikiza uwajibikaji kutoka kwa viongozi waliochaguliwa kuhakikisha utoaji huduma bora kwa wananchi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive