Hakika Ruben: Mshirika mmoja aliniambia unapotea kumbuka ulipoanguka

  • | BBC Swahili
    583 views
    Hakika Ruben ni mmoja wa wachekeshaji maarufu nchini Tanzania ambaye amejizolea umaarufu katika mitandao ya kijamii na ucheshi wake unaohusisha mazingira ya kawaida katika jamii ambapo amekuwa akitumia hali halisi ya maisha na changamoto za kila siku katika vichekesho vyake. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw