‘Hakuna fedha inayoweza rudisha miaka niliyopoteza gerezani’

  • | BBC Swahili
    1,202 views
    Mwanaume mmoja ameachiwa huru baada ya kukaa gerezani kwa miaka 27 kwa kosa la mauaji ambalo hakulifanya. Michael Sullivan mwenye umri wa miaka 65, kutoka jimbo la Massachusetts nchini Marekani alikamatwa mwaka 1986 na kuhukumiwa mwaka 1987, akapewa kifungo cha maisha. Teknolojia mpya ya DNA hatimaye ilithibitisha kuwa hana hatia, lakini baada ya kupoteza karibu miongo mitatu ya maisha yake. #bbcswahili #gerezani #DNA Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw