'Hakuna mtu ambaye amefanikiwa halafu hana adabu'

  • | BBC Swahili
    6,704 views
    Ambwene Yesaya @aytanzania Ni miongoni mwa wasanii wa mwanzo kufanya muziki wa hip hop kuwa biashara nchini Tanzania na kufanikiwa kufanya kazi na wanamuziki wakubwa kama @psquareworld, Miss Trinity, Sean Kingston, Romeo na wengine wengi. Amezungumza na @rmziwanda_official kuhusu masuala mbalimbali ya muziki 🎥: @jesswapele @frankmavura #bbcswahili #tanzania #muziki Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw