Hali ya uchumi nchini

  • | TV 47
    42 views

    Serikali imesema uchumi yaendelea kua bora. Uchumi imara itavutia uwekezaji na kupunguza gharama ya maisha.

    Baadhi ya Wakenya wanaamini Kenya inaelekea kwenye mwelekeo mbaya.

    Wakaazi wa Lodwar,Murang'a na Taita Taveta walalamika uchumi waendelea kua mbovu kwa kutokua na pesa wala kazi.

    Wasema pesa hupotelea katika serikali ya kaunti,hazifiki mashinani.

    #TV47Matukio Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __