Hali ya wasiwasi bado imegubika maeneo kadhaa kaunti ya Tana River

  • | Citizen TV
    594 views

    Watu zaidi wanatarajiwa kuhojiwa hapo kesho kuhusiana na mapigano ya Tana River yaliyowauwa watu 18 kufikia sasa. Haya yakibainika huku Gavana wa Tana River Dhadho Gaddae Godhana, Mbunge wa Galole Hiribae Said Buya na viongozi wengine waliokuwa wamekamatwa wakiachiliwa. Na kama Serfine Achieng' Ouma anavyoarifu, viongozi wa eneo hilo sasa wanataka juhudi zaidi kudumisha amani