Halmashauri ya KeRRA yatakiwa kuangazia hasara ya shilingi milioni 16

  • | KBC Video
    39 views

    Wabunge sasa wanaitaka halmashauri ya barabara za maeneo ya mashinani nchini, KERRA kutoa maelezo kuhusu jinsi na ni kwa nini halmashauri hiyo ilitozwa faini ya shilingi milioni-16 kwa kukiuka masharti ya kandarasi nam kampuni ya kiusalama ya Total. Mkurugenzi mkuu wa KERRA Philemon Kandie alishindwa kuelezea kamati ya bunge la taifa kuhusu uwekezaji wa umma katika kawi na huduma za kibiashara kilichoifanya kukiuka masharti ya kandarasi hiyo na kusababisha hasara ya takriban shilingi milioni-16.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive